corona Upload Your Music Free

Dogo Nature - corona


Published May 23, 2020
4 views
Genre: Singer/Songwriter
Album: CORONA
released: 2020

This song was produced to teach the world on how to avoid the corona virus disease


Lyrics

natuma salaam zangu kwanza kwa baba na mama kijana wenu rama mjini siko salama karantini imenikabakunikaba matibabu naendelea poa Leo ni siku ya saba nilihisi uchovu na joto jingi kwa mwili nikahisi Mafia na homa nayo kwa wingi nilidhani ni hali ya kawaida nikaishi bila hofu moyoni kama kawaida Mara homa ilipanda uvumilivu ukanishinda hata kuhema nilishindwa nilihema japo kwa shida niwasili katika kituo cha afya ili kwamba nitambue usalama wangu afya dhahiri nilidhahirisha naugua ugonjwa wa corona corona haina huruma corona katso madhona nimelazwa hostol kuu jijini Nairobi salaam kwa ndugu zangu salaam kwa mama tobi nahisi kaa nimeisha mchana naona duniani kweli na saga nahisi kujimaliza. Covid 19 ime. Mwili natoka jasho ila nahisi baridi ama na nataka safiri mbinguni bila shahidi mawazo chungu nzima stress kila kukicha nipeni salaa zenu mbinguni nitazifikisha macho nakosa Nuru kuoga nina wiki moja sijaoga mpaka Janata nahisi kama nimeshikwa sijui kama ni nani thawabu zifike kwake nifikishe tu msalani hewa nakosa nahema tu kwa mpira kama ni mtihani fikiri sana watu wanasafa mtaifa mbali mbali Leo imebet kwangu sijui kesho ni nani  covid.         

Share this song on Facebook
Be the first to comment!
insta

Albums / Discography

CORONA Upload Your Music Free

CORONA

by Dogo Nature released 2020
Singer/Songwriter

May 23, 2020

corona

This song was produced to teach the world on how to avoid the corona virus disease

Data Privacy Notice-Music We Make (https://www.musicwemake.com) uses cookies to track site activity through Google Analytics and shows advertisements through Google Adsense. Music We Make also collects membership information that you provide to the site such as your username, email address, song/music data, favorites, likes, votes, comments, purchase information, etc... (USAGE DATA) that is kep privately at Music We Make for the sole purpose of providing our online services as a platform to promote your music and is not sold to any third parties for any reason. As a Music We Make member, you may delete your data at any time either by deleting individual songs or comments, or by deleting your entire account.