Emseven_-_ungesubiri (official audio music) mp3 Upload Your Music Free

Emseven - Emseven_-_ungesubiri (official audio music) mp3


Published June 2, 2021
6 views
Genre: R&B/Soul
Album: Golden Boy
released: 2021
Ungesubiri ni project yangu ya kwanza na naamini nimefanya hii huku nikitarajia sapoti ya mashabiki sababu bila wao siwezi mwenyewe..enjoy Good music

Lyrics
HARTS ARTISTS MIXES Stream Emseven - Emseven_-_ungesubiri (official audio music) mp3 Emseven_-_ungesubiri (official audio music) mp3 Emseven 2:45 Download Promote ↑ Low size version (1.3 MB) Embed song Lyrics Ungesubiri walau hata dakika moja tu,shori ujue how I feel Shubiri yangu ingekuwa tamu tu my ney na ngekwambia how I feel you.. Mrembo kuzidi nimekwona,mwenyewe tu maa Na Kiumbe aliyenipa tabasamu ni,wewe tu maa Hadithi hadithi zikanifunga macho,ngeona huenda nisingelaanika na Ulichagua kulinda kile ukipendacho ooh! You so beautiful Nusu malaika nusu MTU You should wait before you go Naujutia ukimya wangu *** ** Ungesubiri walau hata dakika moja tu,shori ujue how I feel Hatima yako ni mi nawe Endapo ukisusa itauma Tulipanga vingi mi nawe Na unajua ukweli maa×2 ** ** ** Nishajaribu nimtafute Walau wenye sifa kama zako wee Kule kunidekeza,kuniliwaza Bado sijampataga Au huenda alizichoka shida Matatizo na mapenzi yee hawezi Nishafanya unga-unga mwana Furaha nimpatie na anienzi Yee ndo chanzo,sina raha Ule upendo,kauzima Ndo ulikuwa mwanzo,Wa me nae Kaongeza mwendo,simuoni ** ** Ungesubiri walau hata dakika moja tu,shori ujue how I feel Hatima yako ni mi nawe Endapo ukisusa itauma Tulipanga vingi me nawe Na unaujua ukweri maa×2 (Emseven)...
Share this song on Facebook
Be the first to comment!
#Emseven#ungesubiri

Albums / Discography

Golden Boy Upload Your Music Free

Golden Boy

by Emseven released 2021
R&B/Soul

June 2, 2021

Emseven_-_ungesubiri (official audio music) mp3

Ungesubiri ni project yangu ya kwanza na naamini nimefanya hii huku nikitarajia sapoti ya mashabiki sababu bila wao siwezi mwenyewe..enjoy Good music

Data Privacy Notice-Music We Make (https://www.musicwemake.com) uses cookies to track site activity through Google Analytics and shows advertisements through Google Adsense. Music We Make also collects membership information that you provide to the site such as your username, email address, song/music data, favorites, likes, votes, comments, purchase information, etc... (USAGE DATA) that is kep privately at Music We Make for the sole purpose of providing our online services as a platform to promote your music and is not sold to any third parties for any reason. As a Music We Make member, you may delete your data at any time either by deleting individual songs or comments, or by deleting your entire account.